Jamaa alivyositisha ombi la talaka ambalo lingemfilisi kabisa
Leo hii kutuna na Duke kutokea Mwanza, ni mtu mwenye tabasamu tulivu na mikono iliyoshikilia udongo wa Kilimo kwa upendo. Alikuwa ameishi katika ndoa kwa miaka 21 na mpenzi wake wa moyo, Shamira. Walijaaliwa watoto wawili, binti mmoja na mvulana mmoja, ambao walikuwa nuru ya maisha yao na msingi wa familia yenye upendo na amani.
Maisha yao yalijengwa juu ya heshima, mapenzi, na
juhudi za pamoja, na Duke alijivunia kusema kuwa ndoa yake ilikuwa mfano
kwa wengi.
Walifanya kazi kwa bidii, na kadiri miaka ilivyosonga,
mali yao ilikua. Walijenga nyumba nzuri Mwanza, walinunua mashamba, na
walimiliki biashara ndogo iliyowawezesha kuishi maisha mazuri na kuwapa
watoto wao elimu bora.
Duke alimwamini Shamira kwa kila kitu, akimuona kama mshirika kamili katika safari yao ya maisha.
Lakini,
kama upepo wa ghafla unavyoweza kubadili hali ya hewa, mambo yalianza
kubadilika katika ndoa yao. Ilianza kwa malalamiko madogo, kisha
ikageuka kuwa mabishano ya mara kwa mara.
Shamira, ambaye alikuwa mcheshi na mpole, alianza kuonyesha dalili za kutokuwa na furaha. Duke alijaribu kurekebisha, akimuuliza nini kinachomsibu, lakini majibu yake yalikuwa ya ukali na kutoeleweka. Kusoma Zaidi Bonyeza Hapa

Post a Comment